
Panga la Yanga kufyeka sita, kuhusu chama …!
MABOSI wa Yanga wakishirikiana na benchi la ufundi la klabu hiyo, wameanza kupiga hesabu la kufyeka mastaa sita wa timu hiyo, wakiwamo wazawa watano na mmoja wa kigeni, huku kiungo mshambuliaji, Clatous Chama ikielezwa amewagawa mabosi hao juu ya uamuzi wa kumtema au kumbakisha kikosini. …