
Ibenge aaga rasmi Al Hilal, njia nyeupe Azam FC
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Al Hilal Omdurman ya Sudan, Florent Ibenge amewashukuru wafanyakazi, wachezaji, watendaji, mashabiki na watu wote wa Sudan kwa kipindi cha miaka mitatu aliyofanya nao kazi, huku akiwaambia atabaki katika mioyo yao. Hatua ya kocha huyo kuaga inajiri baada ya jana Mtendaji Mkuu wa Al Hilal, Hassan Ali Issa kueleza wamefikia uamuzi…