
Mbadala wa Sowah ageuka lulu sokoni
WAKATI mabosi wa Singida Black Stars wakimpigia hesabu mshambuliaji nyota wa Berekum Chelsea ya Ghana, Stephen Amankonah kwa ajili ya msimu ujao, wanatarajiwa kukutana na ushindani kutokana na timu mbalimbali zilizoonyesha nia ya kumtaka. Amankonah anahitajika Singida Black Stars kwa ajili ya kuchukua nafasi ya mshambuliaji raia mwenzake wa Ghana, Jonathan Sowah ambaye inaelezwa anaweza…