
Z’bar kutumia wahudumu wa afya ngazi ya jamii kuimarisha mifumo
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameitaka Wizara ya Afya kuwa na mipango endelevu kuwapata wahudumu wa afya ngazi ya jamii (CHWs) akisema kutachochea mabadiliko chanya ya utoaji wa huduma. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Juni 30, 2025 wakati wa mahafali ya kwanza ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii yaliyofanyika katika…