
Paredi la Yanga lawabeba bodaboda
KATIKA msafara wa Yanga, bodaboda wamepata fursa ya kubeba mashabiki kwa kujipatia kipato, kutoka kwa mashabiki ambao wamechoka kutembea na kuamua kutumia usafiri huo. Mwanaspoti lipo katika msafara huo, limeshuhudia baadhi ya mashabiki wakikubaliana bei na bodaboda ambao wanabeba abiria wqwiki hadi watatu kufukuzana na gari iliyobeba mataji sambamba na wachezaji. Kutokana na msafara kuwa…