Haji Mnoga kuanza na Carabao Cup

NYOTA wa Kitanzania, Haji Mnoga na klabu yake ya Salford City wataanza msimu wa 2025/26 kwa kushiriki mashindano ya Carabao Cup yanayotarajiwa kuanza Agosti mwaka huu. Ratiba inaonyesha Salford, ambayo inaanza kwenye raundi ya kwanza ya mashindano hayo makubwa England, itakipiga na Rotherham United Agosti 12. Endapo watafuzu hadi raundi ya pili, huenda wakakutana na…

Read More

Ngoma awasaparaizi mashabiki Simba | Mwanaspoti

SIKU chache baada ya kucheza mechi ya mwisho kwa msimu huu wa 2024-2025 wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga, kiungo wa Simba, Fabrice Ngoma amewasapraizi mashabiki wa klabu hiyo kwa kuwaaga rasmi leo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Ngoma ameaga ikiwa siku chache tu, tangu Simba ilipopoteza pambano la dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga…

Read More

Ngoma awasaparaizi mashabiki wa Simba

SIKU chache baada ya kucheza mechi ya mwisho kwa msimu huu wa 2024-2025 wa Ligi Kuu dhidi ya Yanga, kiungo wa Simba, Fabrice Ngoma amewasapraizi mashabiki wa klabu hiyo kwa kuwaaga rasmi leo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Ngoma ameaga ikiwa siku chache tu, tangu Simba ilipopoteza pambano la dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga…

Read More

Beki Mghana anukia Tabora United

KLABU ya Tabora United, iko katika mazungumzo na beki wa kushoto wa Bibiani Gold Stars, William Ntori Dankyi baada ya kuvutiwa na uwezo mkubwa wa nyota huyo raia wa Ghana aliouonyesha msimu ulioisha wa 2024-25, akikichezea kikosi hicho. Taarifa ambazo Mwanaspoti imezipata kutoka ndani ya uongozi wa timu hiyo, zimeliambia beki huyo aliyezaliwa Septemba 4,…

Read More

Mpanzu, wenzake wana wiki mbili tu

SIKU chache tangu washindwe kuhimili kishindo cha Yanga na kukubali kichapo cha mabao 2-0 wakifunga msimu wa 2024-2025 bila taji, mastaa wa Simba akiwamo Elli Mpanzu na Jean Charles Ahoua wamepewa wiki mbili za kupumzika kabla ya kurejea kujiandaa na msimu ujao. Hatua ya mastaa hao kupewa likizo fupi imeelezwa kutokana na mipango aliyonayo Kocha…

Read More

Fainali ya FA Yanga v Singida BS vita ipo hapa

ZANZIBAR: IMEPITA takribani miezi minane sawa na siku 243 tunarudi tena New Amaan Complex, Zanzibar kushuhudia Singida Black Stars ikicheza dhidi ya Yanga. Safari hii itakuwa fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) itakayofanyika Jumapili ya Juni 29, 2025 kuanzia saa 2:15 usiku. Mara ya mwisho timu hizo zilikutana uwanjani hapo katika mchezo wa Ligi Kuu…

Read More

Evalisto aendelea kusubiri ofa mpya

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Makadi FC ya Misri, Oscar Evalisto amesema bado hajasaini mkataba mpya kwenye klabu hiyo, akisubiri ofa kutoka timu nyingine. Evalisto alimaliza mkataba wa miezi sita na Makadi FC mwezi Machi mwaka huu, akiwa ametokea Mlandege FC ya Zanzibar. Akizungumza na Mwanaspoti, Evalisto alisema bado anaendelea na mazungumzo na timu mbalimbali kutoka…

Read More

Mshikemshike uchukuaji fomu CCM | Mwananchi

Dar es Salaam/Mikoani.  Mshikemshke wa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania uteuzi wa nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) umeanza rasmi leo, Juni 28, 2025, na kuvutia makada wengi kuwania nafasi hizo. Miongoni mwa waliovutia macho ya wengi ni Ester Bulaya, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chadema,…

Read More

Simba, Yanga mmesikia huko? Sillah aaga Azam!

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Gibrill Sillah amewaaga mashabiki na uongozi wa timu hiyo leo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Mgambia huyo aliyeitumikia Azam kwa misimu miwili, anamaliza mkataba alionao akiwa ameifungia klabu hiyo mabao 19, yakiwamo 11 ya msimu huu na  manane ya msimu uliopita. Sillah anayeondoka akiwa ndiye kinara wa mabao kwa msimu…

Read More