
Rasmi Dube kuikosa fainali FA dhidi ya Singida BS
YANGA imethibitisha rasmi kwamba katika mchezo wa fainali dhidi ya Singida Black Stars, mshambuliaji wao, Prince Dube hatakuwepo. Mapema leo, Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi alisema bado hajawa na uhakika wa kumkosa mshambuliaji huyo, lakini sasa imethibitishwa rasmi kukosekana kwake. Katika mazoezi ya mwisho yaliyofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa Aman, Dube hakuwa…