
Wabrazili wakoleza mzuka Mlandege | Mwanaspoti
KOCHA Mkuu wa Mlandege inayojiandaa na mechi za Kombe la Kagame 2025 na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Hassan Ramadhan Hamis amesema amefurahia kutua kwa nyota wanne wa kigeni kutoka nchi tofauti wakiwemo Wabrazili wawili, huku akiahidi kufanya vizuri kimataifa. Mlandege imewanasa beki wa kati Davi Nasciimento na kiungo mkabaji Vitor De Souza raia…