
Karibu Ibenge tutakupima kimataifa | Mwanaspoti
MATAJIRI wa Azam FC wamecharuka kweli na kijiweni hapa tumepata habari za uhakika kutika viunga vya Azam Complex kule Chamazi kuwa kocha mpya ajaye ni Mkongomani Florent Ibenge. Baada ya kuiongoza Azam kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi, kocha mwandamizi Rachid Taoussi atapewa mkono wa kwaheri kumpisha Ibenge anayetokea Al Hilal ya…