
Benki ya NBC Yakabidhi Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu kwa Yanga.
· Yasisitiza dhamira yake kuwekeza zaidi kwenye maendeleo ya wachezaji. Mdhamini mkuu wa ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) jana ilikabidhi kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya soka ya NBC (NBC Premier League) kwa timu ya Yanga SC ya jijini Dar es Salaam iliyoibuka bingwa wa kombe hilo msimu wa mwaka…