
Kisa Simba, Yanga wataka mageti yafungwe
MASHABIKI wa Yanga wakorofi sana, hebu soma hii. Wakati Simba ikimaliza kuingia geti kubwa la Uwanja wa Benjamin Mkapa, kuna kituko watani wao wakakifanya hata polisi imebidi wacheke. Wakati Simba ikiingia tu, mashabiki wa Yanga wakashangilia kwa nguvu, kisha wakaanza kuwapigia kelele askari wa getini wakiwataka kufunga geti. Mashabiki hao wametoa kauli hiyo wakisema hawataki…