
Ile Dabi ya Kariakoo ndo leo!
BAADA ya danadana nyingi za mchezo wa Dabi ya Kariakoo, hatimaye ile siku ndio leo Jumatano na Dimba la Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, mbivu na mbichi zitafahamika baada ya kipyenga cha mwisho kupulizwa na mwamuzi raia wa Misri, Amin Mohamed Amin Omar. Ni mchezo namba 184 ambao tarehe yake iliahirishwa mara mbili, awali…