
Jeshi la Polisi latoa uhakika wa usalama Kariakoo Dabi
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia usalama wananchi katika mechi ya Simba na Yanga inayotarajiwa kuchezwa kesho Jumatano Juni 25, 2025 huku ikiwaonya wenye lengo la kuleta vurugu na udhalilishaji. Mchezo huo namba 184 wa raundi ya pili wa Ligi Kuu ambao awali ulipangwa kuchezwa Machi 8, 2025, uliahirishwa baada ya…