
NCHI 15 ZA AFRIKA ZAJADILI MUSTAKABALI WA NYUKLIA KWA MAENDELEO ENDELEVU
::::::: Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Dar es Salaam imekuwa mwenyeji wa mkutano muhimu wa kimataifa wa kujadili maboresho ya mikataba ya nyuklia, kwa lengo la kuwezesha utekelezaji wa miradi ya nyuklia kwa usalama pamoja na kuhakikisha matumizi yake yana manufaa ya kijamii na kiuchumi. Mkutano huo umezikutanisha nchi 15 kutoka Ukanda wa Afrika….