
Hesabu za Tabora United zipo kwa kipa Mghana
MABOSI wa Tabora United wameanza harakati za kukisuka upya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao ili kuongeza ushindani katika michuano mbalimbali na wanampigia hesabu kipa, Fredrick Asare anayeichezea Asante Kotoko ya Ghana. Taarifa kutoka katika timu hiyo ya ‘Nyuki wa Tabora’, zinaeleza mabosi wa kikosi hicho wanampigia hesabu kipa huyo raia wa Ghana, kwa…