
Mgogoro wa Iran, Israel wamkwamisha Wazir Jr Iraq
MSHAMBULIAJI wa Al Mina’a, Wazir Jr Shentembo amesema mgogoro kati ya Iran na Israel umesitisha safari za ndege kwa timu kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Wazir Jr ambaye aliwahi kukipiga Yanga msimu wa 2020/21, alijiunga na timu hiyo iliyopo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi yenye timu 20, kwa mkataba wa miezi sita mwanzoni…