
Simbu, Geay kukiwasha Mampando Festival
Msimu wa nne wa tamasha la Mampando unatarajiwa kufanyika kwa siku tatu kuanza Juni 23, huku wanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Alphonce Simbu na Gabriel Geay wakiwa miongoni mwa nyota ambao watakaokuwepo kulinogesha. Tamasha hilo litafanyika katika kijiji cha Mampando kilichopo wilayani Ikungi mkoani Singida lengo ikiwa ni kuibua na kuendelea vipaji vya vijana kupitia…