Kilichomuondoa Pantev Simba hiki hapa

Uamuzi wa Simba kuachana ghafla na Meneja wake Dimitar Pantev ambaye alikuwa mkuu wa benchi la ufundi, leo Jumanne, Desemba 2, 2025 unatajwa kuchangiwa na sababu tatu. Kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari, Simba imeanika kuwa imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa Pantev na timu hiyo itakuwa chini ya usimamizi wa Selemani Matola kwa…

Read More

Siku 61 za Pantev zilivyohitimishwa Simba

KLABU ya Simba, leo Desemba 2, 2025 imetangaza kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Meneja Mkuu, Dimitar Pantev pamoja na wasaidizi wake wawili. Uamuzi huo wa Simba umekuja baada ya Pantev kudumu klabuni hapo kwa takribani siku 61 sawa na miezi miwili pekee, kutokana na kutambulishwa Ijumaa ya Oktoba 3, 2025, kisha mkataba wake kusitishwa…

Read More

Huyu hapa kumrithi Pantev Simba

Baada ya uongozi wa klabu ya Simba kufikia makubaliano ya kumfuta Meneja Dimitar Pantev, klabu hiyo inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, imeanza harakati za kusaka mrithi wa kubeba mikoba yake. Simba impoteza mechi mbili za mwanzo ilizocheza kwenye kundi D la Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo, ilianza kufungwa nyumbani kwa bao 1-0 na Petro Luanda…

Read More

Kocha Fountain Gate kapiga mkwara huko!

KOCHA wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema mechi ya keshokutwa Alhamisi dhidi ya Yanga hawataingia kinyonge bali wataonyesha ushindani mkubwa mbele ya mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara. Mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara imepangwa kuchezwa keshokutwa Alhamisi saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar na Fountain Gate imetoka kufungwa 2-0…

Read More