
KRFA yafunguka sababu kumdhamini Karia TFF
WAKATI harakati za uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zikipama moto, Chama cha Soka Mkoa wa Kilimanjaro (KRFA), kimempa baraka mgombea urais Wallace Karia kuendelea na kipindi kingine cha uongozi. Akizungumza leo, Juni 20,2025 mjini Moshi, Mwenyekiti wa KRFA, Isaac Munis maarufu kwa jina la ‘Gaga’ amesema wamemdhamini Karia kwa kuzingatia kazi aliyoifanya…