
Nafasi za Mnguto, Kasongo zajazwa TPLB
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepata viongozi wawili wa kukaimu nafasi za Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu ambao Juni 13, 2025 waliondoka katika nafasi hizo kwa sababu tofauti. Mwenyekiti wa Azam FC, Nassor Idrissa ‘Father’ anakaimu nafasi ya Mwenyekiti wa TPLB ambayo imekuwa wazi kufuatia kujiuzulu kwa Steven Mnguto. Kwa upande wa Mtendaji Mkuu, anayekaimu…