
Yanga yasaka saini ya kiungo wa Gor Mahia
YANGA imesharejea jijini Dar es Salaam na ilikuwa ikijiandaa kwenda Zanzibar kwa ajili mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji kabla ya kuweka kambi visiwani humo kusubiri Dabi ya Kariakoo ya Juni 25, huku mabosi wa klabu hiyo wakiendelea kufanya usajili wa kimyakimya kwa kikosi kijacho. Yanga inayoshikilia ubingwa wa Ligi Kuu kwa…