
Beki wa Simba awindwa Mashujaa
UONGOZI wa maafande wa Mashujaa uko katika harakati za kukisuka kikosi kwa ajili ya msimu ujao, ambapo tayari mabosi wa timu hiyo wameanza harakati za kumuwinda beki wa kati wa Simba, Hussein Kazi anayemaliza mkataba wake. Kazi aliyejiunga na timu hiyo Julai 20, 2023 akitokea Geita Gold, ameshindwa kupenya katika kikosi cha kwanza mbele ya…