
LIGI KUU: Kuna vita mbili Mbeya
LIGI Kuu Bara inaendelea leo Jumatano na timu zote 16 zitakuwa kwenye viwanja nane tofauti kusaka hatma ya kutamatisha msimu huu huku kukiwa na mechi moja yenye vita mbili tofauti ikizihusisha Tanzania Prisons dhidi ya Yanga. Kwenye mechi hizo nane ambazo zote zitachezwa kwa muda mmoja kuanzia saa 10:00 jioni, kila timu itakuwa na hesabu…