Tausi bingwa Daraja la Kwanza wanawake

NI rasmi kwamba Tausi FC maarufu kama Ukerewe Queens imekuwa bingwa wa Ligi Daraja la kwanza (WFDL) kwa wanawake baada ya kuichapa Bilo Queens kwa mabao 3-0 kwenye fainali iliyopigwa katika Uwanja wa Nyamagana, Mwanza. Mashindano hayo yalianza kupigwa Juni 8 hadi June 16, mwaka huu ambapo katika Uwanja wa Nyamagana yalishirikisha timu 16 zilizochuana…

Read More

Bwenzi aitosa Coastal atimkia Mashujaa

MAAFANDE wa Mashujaa wameshinda vita ya kuwania saini ya kiungo mshambuliaji wa KenGold,  Selemani Rashid ‘Bwenzi’ aliyekuwa akiwindwa na Coastal Union, JKT Tanzania na Tabora United. Mashujaa iliyo na mechi mbili kabla ya kufunga msimu wa 2024-2025, imeanza kusaka nyota wapya kwa ajili ya kujipanga kwa msimu ujao, na inaelezwa imeshamalizana na Bwenzi baada ya…

Read More

Kipa KenGold: Mpanzu? Tunajuana huko huko!

KIPA wa KenGold, Castor Mhagama amesema mechi ya kesho ya kukamilisha ratiba ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba itakayopigwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora anatarajia itakuwa ngumu kwao kutokana na kutofanya maandalizi ya kutosha, lakini watapambana. Mhagama ameliambia Mwanaspoti kwamba, anajua Simba itakuwa na uchu mkubwa wa kupata ushindi ili kujiweka…

Read More

Yanga yategwa dili la winga Mrundi

KIKOSI cha Yanga kimesafiri kwenda Mbeya kuwahi pambano la Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons, huku mabosi wa klabu hiyo wakikuna vichwa kutoka na mtego waliowekewa juu ya kumnasa winga machachari Mnyarwanda anayekipiga Al Hilal ya Sudan. Yanga inayoongoza msimamo wa Ligi ikiwa na pointi 73 baada ya kucheza mechi 28 ikiwa ni moja…

Read More

Hamza, Camara waikoleza Dabi Juni 25

MASHABIKI  wa soka nchini wameanza kuhesabu vidole kuhusiana na siku ya kupigwa Dabi ya Kariakoo iliyopangwa kuchezwa Juni 25 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam baada ya kuahirishwa mara mbili mfululizo Machi 8 na Juni 15. Hata hivyo, kwa upande wa Simba kupangwa kwa tarehe hiyo mpya, kumekuwa kama neema baada ya awali…

Read More

Straika Asec aingia anga za Simba

SIMBA inajiandaa kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya KenGold itakayopigwa kesho kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, mjini Tabora, lakini mabosi wa klabu hiyo wanaendelea kupiga hesabu za kuboresha kikosi wakianza mazungumzo na straika wa Asec Mimosas. Simba iliyosaliwa na mechi tatu inazohitaji ushindi ili kutangaza ubingwa msimu huu baada ya…

Read More

Safari ya Ikomba urais CWT, anavyoitazama elimu nchini

Dodoma. Binadamu anaishi Kwa malengo,ndoto na wakati mwingine matamanio ya kufanya jambo jema lenye mafanikio kwa ajili yake, familia au taifa. Kwenye malengo hayo, wako wanaoweka malengo ya muda mrefu,mfupi na muda wa kati lakini kwa ujumla ni kwamba yeyote anayeishi katika malengo hayo, atakuwa mtu mwenye kujituma na kufanya jambo kwa kiasi. Hata hivyo,…

Read More

Ishu ya Ibenge, Azam haitanii

MAPEMA bila ya kuchelewa, taarifa zinabainisha kwamba Azam FC imeanza mchakato wa kumpata mrithi wa Kocha Rachid Taoussi ambaye inaelezwa mwisho wa msimu huu anaondoka klabuni hapo. Katika kumsaka mrithi wake mapema, uongozi wa Azam FC, tayari umekutana na kocha Florent Ibenge jijini Dar es Salaam kwa ajili kufanya mazungumzo ya kuhitaji huduma yake ya…

Read More