
Neema aipaisha Tanzania Kwibuka T20 Rwanda
Neema Pius alishirikiana vyema na Fatuma Kibasu kuifanya Tanzania kuibuka kinara wa mikimbio katika michuano ya Kumbukumbu ya Kwibuka iliyomalizika wikiendi iliyopita, jijini Kigali, Rwanda. Neema nyota mpya ya kriketi kwa timu ya wanawake ya Tanzania alitangazwa ndiye mtengezaji bora wa mikimbio baada ya kupiga jumla 218 katika mechi nane ilizocheza Tanzania na kumfanya amalize…