
Gomez wamoto akitupia, asisti tatu Wydad
MSHAMBULIAJI wa Wydad Casablanca ya Morocco, Mtanzania Seleman Mwalimu ‘Gomez’ ameanza kufanya vizuri baada ya kuhusika kwenye mabao manne kati ya saba ya timu hiyo kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya CS Saint-Laurent kutoka Montreal, Canada. Katika mechi hiyo iliyopigwa juzi nchini Marekani, Gomez alifunga bao moja na kuasisti mara tatu wakati kikosi hicho kiliposhinda…