
Bosi TFF atia neno ishu ya Mnguto
TAARIFA iliyoshtua juzi haikuwa kupangwa upya kwa tarehe ya kiporo cha Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, bali ile iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) yenye mistari minne tu, lakini ikatingisha huku bosi wa zamani wa kamati ya sheria TFF akisema suala hilo limechelewa kuchukuliwa uamuzi. Taarifa hiyo ilikuwa kujiuzulu kwa Mwenyekiti…