
Mnguto ajiuzulu, Karia amsimamisha Kasongo TPLB
Saa chache baada ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), kupanga tarehe ya mchezo wa Yanga dhidi ya Simba, Mwenyekiti wake Steven Mnguto amejiuzulu. Taarifa iliyotoka usiku huu kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imesema Mnguto ameandika barua ya kuachia nafasi hiyo. Hatua hiyo imekuja wakati ambao Mnguto amebakiza miezi michache kuachia nafasi hiyo baada ya…