
Fountain Gate, Tabora zimepishana kidogo tu
KIJIWENI kwetu hapa tulikuwa tunautazama msimamo wa Ligi Kuu Bara wakati huu ambao zimebaki raundi mbili msimu wa 2024/2025 umalizike. Tukawaona jamaa zetu wa kule Babati, Manyara, Fountain Gate wapo katika nafasi ya 14 kwenye msimamo ikiwa imekusanya pointi 29 katika mechi 28 ilizocheza hadi sasa ikipata ushindi mara nane na kutoka sare tano na…