
Gaucho anukia umeneja Simba Queens
MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), Simba Queens imepanga kumpa heshima mshambuliaji mkongwe wa timu hiyo, Mwanahamisi Omary ‘Gaucho’ kwa kumtunuku cheo cha umeneja wa timu. Gaucho aliyehudumu kikosini hapo kwa takribani misimu nane kwa sasa tangu alipojiunga akitokea Mlandizi Queens iliyoweka heshima ya kuwa timu ya kwanza kubeba ubingwa wa WPL….