
Ofisa Habari KenGold anusurika kwenda jela
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, Ofisa Habari na Mawasiliano wa Timu ya Mpira wa Miguu ya KenGold Sport Club, Joseph Mkoko(34), kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda jela miaka miwili baada ya kupatikana na hatia ya kuomba na kupokea rushwa. Mkoko anadaiwa kuomba rushwa ya Sh1.5 milioni kutoka kwa mchezaji wa zamani wa timu…