
Wadhamini Kombe la FA watoka hadharani kujibu madai ya Yanga
Yanga ilitwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) msimu wa 2023/2024 baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penalti 6-5 dhidi ya Azam kwenye fainali iliyochezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, Juni 2, 2024. SIKU moja baada ya Yanga kusema haitocheza mechi ya Fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Singida Black…