
Chomelo: Haukuwa msimu mzuri, tutajipanga
KIUNGO wa Konya Amputee inayoshiriki Ligi ya Walemavu Uturuki, Ramadhan Chomelo amesema haukuwa msimu mzuri kwa upande wao kutokana na ushindani kuongezeka huku kwa upande wake akitakiwa kufanya majukumu mengi uwanjani. Akiwa pamoja na Shedrack Hebron anayekipiga Sisli Yeditepe, ni Watanzania pekee wanaosakata soka la walemavu nchini humo ukiwa msimu wa tatu mfululizo sasa na…