
Pina amaliza msimu kibabe, aziita timu mezani
MSHAMBULIAJI wa timu ya Mlandege, Abdallah Iddi ‘Pina’ amesema malengo aliyojiwekea msimu huu wa 2024-25 ikiwemo timu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) na kuwa mfungaji bora wa ligi hiyo, yametimia ambapo kwa sasa anataka kucheza soka nje ya Zanzibar. Katika ufungaji, Pina amefanikiwa kuvunja rekodi ya mchezaji wa zamani wa KVZ FC…