Mastaa tisa Stars warudishwa kuiwahi dabi

WAKATI hatima ya Dabi ya Kariakoo kati ya wenyeji Yanga dhidi ya Simba ikiwa bado haifahamiki kama itachezwa au la, nyota tisa wa vigogo hivyo waliokuwa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ iliyocheza juzi usiku mechi ya kirafiki ya kimataifa na Bafana Bafana ya Afrika Kusini wamerudishwa Dar. Nyota hao walikuwa sehemu ya kikosi hicho cha…

Read More

Kocha JKT Tanzania aanika usajili mpya

KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amefichua juu ya mpango wa kuboresha kikosi katika dirisha kubwa la usajili baada ya kushindwa kufikia malengo msimu huu, huku akitaja maeneo mawili atakayoshughulika nayo ili maafande hao warudi na moto katika Ligi Kuu Bara. Maafande hao wa JKT wanaokamata nafasi ya sita katika msimamo wakiwa na pointi…

Read More

Mastar tisa Stars warudishwa kuiwahi dabi

WAKATI hatima ya Dabi ya Kariakoo kati ya wenyeji Yanga dhidi ya Simba ikiwa bado haifahamiki kama itachezwa au la, nyota tisa wa vigogo hivyo waliokuwa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ iliyocheza juzi usiku mechi ya kirafiki ya kimataifa na Bafana Bafana ya Afrika Kusini wamerudishwa Dar. Nyota hao walikuwa sehemu ya kikosi hicho cha…

Read More

Kaseja awaita nyota Kagera Sugar Dar

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja amewaita wachezaji wa timu hiyo haraka kambini jijini Dar es Salaam kwa maandalizi ya mechi mbili zilizosalia zitakazopigwa kati ya Juni 18 na 22. Kagera iliyoshuka daraja ikishika nafasi ya 15 katika msimamo wa Ligi Kuu kwa sasa itakuwa wageni wa Namungo Juni 18 na Kaseja ameona hakuna…

Read More

Tabora United kuja kivingine Ligi Kuu

KIKOSI cha Tabora United kimeingia kambini kujiwinda na mechi mbili za Ligi Kuu Bara zilizosalia kumalizia msimu huu, huku kocha mkuu Simonda Kaunda akieleza kuwa hali ya timu na wachezaji wako fiti. Timu hiyo imebakisha mechi mbili kufunga msimu huu ambapo Juni 18 itakuwa ugenini kucheza dhidi ya Azam huku ikiwa na kumbukumbu ya kushinda…

Read More

KenGold waitana fasta kumalizia Ligi

LICHA ya kuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu huu, huku ligi ikiwa haijamalizika, kocha wa KenGold, Omary Kapilima amewaita kambini fasta wachezaji wote kujiandaa na mechi za mwisho za kufungia msimu ikiwamo dhidi ya Simba itakayopigwa Mbeya, Juni 18. Kapilima aliliambia Mwanaspoti jana kuwa wachezaji wote  wanatarajiwa kuingia kambini Juni 10 kuweka mikakati ya…

Read More

Kaseja awaita nyota Dar | Mwanaspoti

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja amewaita wachezaji wa timu hiyo haraka kambini jijini Dar es Salaam kwa maandalizi ya mechi mbili zilizosalia zitakazopigwa kati ya Juni 18 na 22. Kagera iliyoshuka daraja ikishika nafasi ya 15 katika msimamo wa Ligi Kuu kwa sasa itakuwa wageni wa Namungo Juni 18 na Kaseja ameona hakuna…

Read More

Mtibwa Sugar yajipanga kumrejesha Kawemba

BAADA ya Mtibwa Sugar kurejea Ligi Kuu Bara, mabingwa hao wa zamani wako katika mazungumzo ya kumhitaji Saad Kawemba ashike nafasi ya Mtendaji Mkuu wa klabu ikiamini uzoefu wake utakuwa msaada katika maeneo mbalimbali. Chanzo cha taarifa hiyo kutoka ndani ya Mtibwa, kinasema jambo hilo linafanyika chini ya uongozi wa serikali ya mkoa wa Morogoro,…

Read More

Saadun, awataja Fei Toto, Sillah

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Nassor Saadun amesema anaamini kuwa msimu ujao wa soka unaweza kuwa na neema zaidi kwake kuliko huu unaomalizika, huku akiwataja viungo washambuliaji, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Gibril Sillah kuwa ni sehemu ya mafanikio aliyonayo. Saadun ambaye amekiri kuwa msimu huu ndio bora kwake tangu ameanza kucheza soka kutokana na mafanikio…

Read More

Yanga yaanza mkakati mpya | Mwanaspoti

YANGA inaendelea kujifua kwa ajili ya mechi tatu za kufungia msimu zikiwamo mbili za Ligi Kuu Bara na moja ya Kombe la Shirikisho, huku ikiipoteza Dabi ya Kariakoo lakini mabosi wa klabu hiyo wanaendelea kufanya mambo yao kimya kimya. Ndio, mabosi hao katika kuimarisha kikosi kwa msimu ujao wa mashindano, wameanza mambo kwa kumnasa kiungo…

Read More