
Makocha Ligi ya U20 hamna baya wanangu
SOKA limepigwa hasa katika 8-Bora ya Ligi Kuu ya soka kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20 nchini na mvuto zaidi ulikuwa kwenye nusu fainali. Timu nne zilizoingia nusu fainali ambazo ni Azam FC, Kagera Sugar, KenGold na Fountain Gate kwa hakika zimetupa ladha sana hapa kijiweni kutokana na timu zilivyoonyesha viwango vizuri na…