Kakolanya: Kukaa nyumbani sio poa

KIPA wa Singida Black Stars, Beno Kakolanya aliyekuwa anacheza kwa mkopo Namungo, amesema hakuwa na msimu mzuri kutokana na kucheza mechi saba na sasa yupo nje ya kazi, akisema kwake sio poa, japo hana namna kwani msimu umeshaisha. Namungo ilitangaza kuachana na Kakolanya, hivyo alirejea SBS ambako hawezi kucheza hadi msimu umalizike, alikiri endapo kama…

Read More

ABC yaipokea UDSM Outsiders | Mwanaspoti

KICHAPO ilichopewa UDSM Outsiders kutoka kwa KIUT cha pointi 65-60, kimeifanya timu hiyo ishuke katika uongozi wa msimamo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) hadi kwenda nafasi ya tano ikiipisha kileleni ABC. Kushuka kwa Outsiders kumeifanya ABC iongoze Ligi hiyo kwa pointi 12, ikifuatiwa na Dar City iliyopata pointi 10. Takwimu…

Read More

Timu ya Nahreel yazinduka WBDL

KAMA utani timu ya mpira wa kikapu ya Real Dream iliyoanza kwa kukatisha tamaa mashabiki katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (WBDL), imeshangaza wengi ni baada ya kuonyesha kiwango kikubwa katika mchezo dhidi ya Kigamboni Queens. Dream iliyoanzishwa na Emmanuel Mkono ajulikanaye kwa jina la kisanii kama Nahreel, katika mchezo huo iliishinda…

Read More

Wazee wa Yanga Watoa Tamko, Wapinga Mchezo wa Derby Juni 15 – Video – Global Publishers

Dar es Salaam – Wazee wa Klabu ya Yanga wamejitokeza hadharani na kutoa tamko rasmi wakipinga vikali ushiriki wa klabu hiyo katika mchezo wa watani wa jadi (derby) unaodaiwa kupangwa kufanyika tarehe 15 Juni, 2025. Kupitia kikao maalum kilichofanyika jijini Dar es Salaam, wazee hao wamewaomba mashabiki na wanachama wa Yanga, hususan walioko mikoani, kutojisumbua…

Read More

Ishu ya Azam, Manula yafikia hapa

MABOSI wa Azam FC wameanza mipango ya kuimarisha kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao ikielezwa ipo hatua ya mwisho kumsainisha mkataba, kipa wa Aishi Manula, sambamba na kumbeba kiungo mahiri aliyekuwa akicheza soka la kulipwa huko Misri. Taarifa za uhakika ilizopenyezewa Mwanaspoti ni kwamba, Manula atasaini mkataba mpya leo Alhamisi baada ya jana kufanyiwa…

Read More

Kinachoendelea kwa Chama, Yanga hiki hapa

MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wanasikilizia ishu ya Dabi ya Kariakoo kama itapigwa au la, lakini kuna kitu kinaendelea ndani ya klabu hiyo kuhusu kiungo mshambuliaji, Clatous Chama. Mkataba wa Chama na Yanga utafikia tamati mara baada ya msimu huu kumalizika na pande hizo mbili zimeanza mazungumzo ya kuona kama kuna uwezekano wa kuwepo kwa…

Read More

Simba yagusa dili la Yanga

DIRISHA kubwa la usajili wa Ligi Kuu Bara linanukia na Mwanaspoti linafahamu kuna kitu kinaendelea baina ya Simba na Yanga nchini DR Congo. Mpaka sasa msimamo wa ligi unavyosomeka, Simba na Yanga ndiyo wawakilishi wa Tanzania Bara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao huku Singida Black Stars na Azam zikienda Kombe la…

Read More

Kocha wa Yanga afunguka kuhusu Dabi

WAKATI joto la pambano la Dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda kwa mashabiki wa soka nchini, Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi amevunja ukimya na kuweka bayana kwamba kwa sasa anaendelea kuwaandaa wachezaji kwa mechi tatu zilizosalia kufunga msimu kwa timu hiyo, lakini dabi haipo. Hamdi alisema wachezaji wana kazi kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara…

Read More

Savio yashindwa kuonyesha makali | Mwanaspoti

WAKATI Ligi ya Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) ikizidi kushika kasi, mambo bado hayajakaa vizuri kwa timu kongwe ya Savio baada ya kuchemsha katika mechi zake kadha za ligi hiyo. Savio iliyowahi kuwa bingwa mwaka 2016, 2017, 2018 na 2021, msimu huu imeshindwa kuonyesha makali kama ilivyozoeleka kwani ilianza kwa kufungwa…

Read More