
Sasii afungiwa miezi sita, Fadlu, Sowah nao yawakuta
Mwamuzi Herry Sasii amekumbana na adhabu Kali, baada ya kufungiwa miezi sita kwa makosa ya kushindwa kutafsiri Sheria kwenye mchezo kati ya Simba na Singida Black Stars. Taarifa iliyotolewa na Kamati ya Usimamizi wa Ligi imesema Sasii amekumbana na adhabu hiyo baada ya kuwa na makosa mengi yaliyotafsirika kushindwa kumudu mchezo huo ambao Simba ilishinda…