Azam yaanza na mbadala wa Fei Toto

HAWAJAWEKA wazi lakini tafsiri ya kiufundi ni kwamba Azam FC wako kwenye harakati za kujiandaa na lolote kwenye nafasi ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ Staa huyo ambaye bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Azam amekuwa akihusishwa na kujiunga na Simba, Yanga na Kaizer Chiefs msimu ujao ambapo kila mmoja kwa wakati wake anapambana kupata…

Read More

Nabi aona kitu Singida Black Stars

KOCHA wa zamani Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa miongoni mwa timu hatari zijazo katika Ligi Kuu Bara ni Singida Black Stars. Hivi karibuni Nabi anaeifundisha Kaizer Chief ya Sauzi,alionekena katika mechi dhidi ya Simba na Singida Black Stars Jijini Dar es Salaam katika kile kilichoelezwa kuwa yuko kwenye mawindo ya usajili. Akizungumza na Mwanaspoti Jijini…

Read More

Sababu 5 za mtego wa dabi

BADO kuna utata juu ya hatma ya mchezo wa kiporo namba 184 kati ya Yanga na Simba ambapo kujua upande mmoja haujanyoosha maelezo kama mchezo upo au haupo hatua ambayo inaweka rehani mechi hiyo. Ukiwasikiliza Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) wanasema mchezo huo upo palepale kwamba utapigwa Juni 15 tarehe mpya ambayo ilishatangazwa. Simba wao…

Read More

Kipigo chaishtua Srelio, yafuata mastaa DR Congo

BAADA ya Srelio kufungwa na Pazi kwa pointi 81-73 katika mchezo wa Ligi ya Kikapu Dar es Salaam (BDL), kocha wa timu hiyo, Miyasi Nyamoko amesema wameamua kuwaita nyota wawili kutoka DR Congo ili waje kuokoa jahazi. Katika michezo ya awali ya mashindano hayo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Donbosco, Upanga, timu hiyo ilifungwa na Mchenga…

Read More

Mabadiliko makubwa yanukia Msimbazi | Mwanaspoti

VIKAO vizito vinaendelea ndani ya Simba kupitia tathimini za mchezaji mmoja mmoja kuona mchango wake kama utaisaidia timu hiyo msimu ujao 2025/26. Kuna kila mabadiliko makubwa yananukia kikosini Msimbazi huku majina kadhaa yakitajwa mpaka sasa. Tayari yapo majina ya mastaa wa kigeni waliokaliwa kooni kuhakikisha wanakatwa. Kati ya mastaa ambao ni 50 kwa 50 kusalia…

Read More

Adebayor: Tulistahili fainali FA | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Victorien Adebayor amesema mechi mbili walizocheza dhidi ya Simba, waliwazidi wapinzani kiuwezo licha ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa bao 1-0 na kwamba fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) iliwastahili kwa namna walivyofunika Manyara. Singida ilianza kuvaana na Simba kwenye Uwanja wa KMC Complex, ikiwa ni kiporo cha Ligi Kuu…

Read More

Coastal Union kung’oa chuma Kagera

WAKATI Kagera Sugar, ikijiuliza inarudije chini kucheza ligi ya Championship, baada ya kushuka daraja Coastal Union, inataka kuongeza maumivu kwenye kidonda ikimtaka beki wao wa kati. Coastal Union inapambana kuinasa saini ya beki wa Kagera Sugar, Mohammed Salum aende kuongeza nguvu kwenye kikosi chao. Taarifa kutoka ndani ya Coastal Union ni kwamba, beki huyo amependekezwa…

Read More

Joshua Mutale haamini kilichomkuta | Mwanaspoti

WINGA wa Simba, Joshua Mutale amesema bado haamini kama kaitwa timu ya taifa ya Zambia ‘Chipolopolo’ inayojiandaa kucheza mechi za kirafiki za kimataifa dhidi ya Tunisia na Sudan, akisema kwake imekuwa kama ni muujiza na imempa nguvu kupambana zaidi. Mutale ambaye ana asisti mbili Ligi Kuu pamoja na mabao manne yakiwamo matatu ya Kombe la…

Read More

Kigwangalla ammwagia maua MO Dewji, Simba

Mwanachama mwandamizi wa Simba na Mbunge wa Nzega Vijijini, Dk Hamis Kigwangalla amefurahishwa na maendeleo ya timu hiyo huku akisema kwa sasa anakoshwa na utendaji kazi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Bilionea Mohammed Dewji. Kigwangalla ametoa kauli hiyo akipinga taarifa feki iliyotolewa na ukurasa wa X uliojitambulisha kwa jina lake ukimlaumu Dewji…

Read More