
Tambwe aipa ubingwa Singida Black Stars
BAADA ya kuikanda Simba kwa mabao 3-1 katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), Meneja wa Singida Black Stars aliyewahi kuitumikia timu hiyo miaka ya nyuma, Amissi Tambwe amesema haoni kitakachoizuia msimu huu kuandika historia ya kubeba ubingwa wa michuano hiyo. Ushindi huo uliopatikana wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, uliopo…