Pantev afichua jambo Simba, Magori atia neno
Kikosi cha Simba kimerejea mapema asubuhi ya leo kikitokea Bamako, Mali kilipoenda kucheza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Stade Malien na kupoteza kwa mabao 2-1. Kipigo hicho kilikuwa ni cha pili mfululizo Simba katika makundi ya michuano hiyo baada ya kile cha kwanza cha bao 1-0 nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa…