
Stein, Dar City patachimbika BDL
ULE uhondo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) unaendelea tena leo kwenye Uwanja Donbosco Upanga wakati Stein Warriors na Dar City zitakaposhuka uwanjani kuonyeshana kazi katika mfululizo wa ligi hiyo inayozidi kushika kasi. Mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa kikapu utachezwa saa 2:00 usiku, huku Stein Warriors inayoongoza…