Saa 72 za mtego Simba
DAKIKA 90 zilizopita zilikuwa na maumivu makali kwa Simba baada ya kushuhudia ikipoteza nafasi ya kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika kufuatia sare ya bao 1-1 dhidi ya RS Berkane kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Sare hiyo iliifanya Simba kupoteza fainali kwa jumla ya mabao 3-1 baada ya ugenini kufungwa 2-0. Baada…