Morrison: Simba ilistahili ubingwa | Mwanaspoti

NYOTA wa zamani wa Simba na Yanfa, Bernard Morrison, amefunguka baada ya Wekundu kushindwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika, licha ya juhudi kubwa ilizoonyesha dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Morrison ambaye kwa sasa anakipiga KenGold, klabu iliyoshuka daraja Ligi Kuu Bara, alisema pamoja na kwamba si mchezaji wa Simba kwa sasa, moyo…

Read More

PAOK, Southampton zamtaka Samatta | Mwanaspoti

MKATABA wa mshambuliaji wa PAOK, Mbwana Samatta unatamatika mwishoni mwa mwezi huu na inaelezwa timu hiyo tayari imeanza mazungumzo ya kumuongezea kuendelea kusalia kikosini hapo. Nyota huyo wa zamani wa Aston Villa kwa sasa yuko nchini kwa mapumziko baada ya Ligi ya Ugiriki kutamatika wikiendi iliyopita na chama lake kumaliza katika nafasi ya nne likifuzu…

Read More

Aucho, Mukwala katika vita nzito

VITA ya nyota wawili wa Yanga na Simba, kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Steven Mukwala imehamia Uganda, baada ya kuteuliwa kuwania tuzo za Shirikisho la Soka la Uganda (FUFA), katika kipengele cha Mwanasoka Bora Anayecheza nje ya nchi. Wengine wanaowania tuzo hiyo mbali na Aucho na Mukwala wanaocheza Ligi Kuu Bara, ni Bevis Mugabi wa…

Read More

Kocha Simba afichua dili la Camara wa Berkane

HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa Wanasimba ambao jana waliishuhudia timu yao ikivaana na RS Berkane ya Morocco katika pambano la marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika lililochezwa kwenye Uwanja wa New Amaan, mjini Unguja Zanzibar. Katika mechi ya awali ugenini ambayo Simba ililala 2-0, kuna kiungo mmoja fundi wa RS Berkane aliwavuruga…

Read More

Chama na mambo mawili tu Yanga

KIUNGO mshambuliaji Clatous Chama anayemaliza mkataba na Yanga, ana mambo mawili tu ili kuendelea kuonyesha ukubwa alionao katika soka la Tanzania. Nyota huyo wa kimataifa kutoka Zambia, inaelezwa kwa sasa anakuna kichwa  juu ya mustakabali wake kwa msimu ujao. Inaelezwa kuwa fundi huyo wa boli ana mambo mawili ya  kufanya kwa sasa kuamua aongeze mkataba…

Read More

Simba ilivyokiwasha jana Amaan Complex

SIMBA licha ya kushindwa kubeba ubingwa wa kwanza wa Afrika baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na RS Berkane ya Morocco, imeendeleza rekodi ya kutopoteza mechi yoyote nyumbani msimu huu katika mechi za Kombe la Shirikisho Afrika. Bao la mapema la dakika 16 la Joshua Mutale liliipa nguvu Simba jana mbele ya wageni, huku…

Read More

Tshabalala: Tumepambana  tatizo refa | Mwanaspoti

NAHODHA wa timu ya Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, amesema licha ya juhudi kubwa walizoweka uwanjani kuhakikisha wanatwaa Kombe la Shirikisho Afrika, ndoto hiyo ilizimwa na maamuzi tata ya refa Dahane Beida kutoka Mauritania. Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa mechi ya pili ya fainali dhidi ya RS Berkane, Tshabalala alisema wachezaji wa Simba walipambana kwa…

Read More

Fadlu: Changamoto zimetukomaza, tutarudi kivingine

KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, amesema pamoja  na kupoteza nafasi ya kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya RS Berkane, kikosi hicho kimeonyesha ukuaji mkubwa wa kiakili na kimchezo kutokana na changamoto walizokutana nazo kabla na wakati wa fainali hiyo. Akizungumza baada ya sare ya 1-1 iliyopatikana kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar matokeo…

Read More