KenGold: Morrison kuvaa uzi wa Simba ni uzalendo

Uongozi wa KenGold umesema kitendo cha nyota wa timu hiyo, Bernard Morrison kuonekana akiwa na jezi ya Simba ilihali ana mkataba na timu hiyo wanalichukulia kizalendo kwa kuwa Wekundu hao waliwakilisha nchi kimataifa. Morrison aliyewahi kucheza Yanga na Simba kwa misimu tofauti, alijiunga na KenGold dirisha dogo na hadi sasa bado ana mkataba hadi mwisho…

Read More

Camara, Ngoma nusura wazichape New Amaan

KATIKA hali isiyo ya kawaida, wachezaji wawili wa Simba, kipa Moussa Camara na kiungo mkabaji Fabrice Ngoma, walinaswa wakiwa katika mzozo mkali uliokaribia kugeuka ugomvi wa wazi, wakitaka kuzichapa mbele ya mashabiki kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Tukio hilo lilijiri muda mfupi kabla timu hazijaenda mapumziko, wakati Simba ikiwa inaongoza kwa bao 1-0 dhidi ya…

Read More

Mke wa Tom Olaba awalilia Watanzania

KOCHA mkuu wa zamani wa Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting za Tanzania, Mkenya Tom Olaba anasumbuliwa na maradhi ya kupooza mwili baada ya kufanyiwa upasuaji wa uti wa mgongo, huku mkewe akiomba misaada mbalimbali kwa ajili ya matibabu yake. Akizungumza na Mwanaspoti kutoka Kenya, mke wa kocha huyo, Elizabeth Olaba alisema kwa sasa Olaba matibabu…

Read More

Kocha Mhispaniola akoshwa na vipaji vya Kitanzania

KOCHA wa akademi ya The Spain Rush-SPF, Mhispaniola Vicente Linares, ameongea jambo baada ya kushuhudia uwezo wa vijana wawili wa Kitanzania waliopo katika akademi hiyo mjini Valencia, Hispania. Katika mazungumzo yake na Mwanaspoti, Linares alieleza kushangazwa kwake na kile alichokiona kwa Sylvanus Marwa na Iddy Mataka makinda wawili wanaowakilisha Tanzania kwenye kikosi cha vijana chini…

Read More

Mourice Sichone anaisikilizia Chippa United

MSHAMBULIAJI kinda wa Trident FC, Mourice Sichone amesema bado anasikilizia ofa ya Chippa United ya Afrika Kusini. Akizungumza na Mwanaspoti, Sichone alisema ni kweli ofa hiyo ipo ingawa hadi sasa hajafahamu kinachoendelea. Aliongeza kuwa mazungumzo zaidi yanaendelea kati ya timu hiyo na meneja wake lakini kwa sasa yuko bize na timu yake inayopambana kupanda Ligi…

Read More

Mbeya City yaanza usajili Ligi Kuu Bara, Malale naye ndani

Timu ya Mbeya City imesema wakati ikiendelea na usajili, lakini upande wa benchi la ufundi imeshamalizana na Kocha Mkuu, huku ikikiri wapo wachezaji watakaoachwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo matakwa yao. Pia imesema baada ya kufanikiwa kutimiza malengo ya kucheza Ligi Kuu msimu ujao, itaandaa sherehe Mei 31 kupongezana kutimiza malengo. Akizungumza leo Jumapili Mei…

Read More

Thadeo Lwanga azifuata Simba, Yanga CAF

KIUNGO wa zamani wa Simba, Thadeo Lwanga, 31, amebeba ubingwa wa Ligi Kuu Rwanda akiwa na APR, leo Jumamosi baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Rwamagana City na kufikisha pointi 64. Lwanga ambaye aliichezea Simba kwa misimu miwili kati ya mwaka 2020 hadi 2022, hili linakuwa ni taji lake la pili la…

Read More

Joto Zanzibar laitesa Berkane | Mwanaspoti

WAKATI  kikosi cha RS Berkane kutoka Morocco kikijipanga kuivaa Simba SC katika fainali ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika, hali ya hewa ya Zanzibar inaonekana kuwatesa Waarabu hao. Kwa siku kadhaa tangu kuwasili kwao Zanzibar usiku wa Alhamisi wiki hii, hali ya hewa inayofikia nyuzi joto zaidi ya 32°C mchana imekuwa kero kwa kikosi…

Read More