TPLB yatembeza rungu wamo waamuzi, makamishna
KAMATI ya Usimamizi wa Ligi Kuu Bara imeshusha adhabu Mbeya City, Namungo, Coastal Union, waamuzi na maofisa wengine. Adhabu ya Mbeya City imewakumba mastaa wawili Gabriel Mwaipola akifungiwa mechi tano sambamba na faini ya Sh5 milioni kufuatia kosa la kumpiga kwa kiwiko Rajab Mfuko wa Namungo wakati timu hizo zilipokutana. Vitalis Mayanga amekumbana na adhabu…