Sababu Mwangata kubaki Mbeya City
UONGOZI wa Mbeya City umefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Malale Hamsini ikiwa ni saa chache tangu ichapwe bao 1-0 na Namungo katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini, Mbeya. Katika mechi hiyo iliyopigwa juzi, mabosi wa Mbeya City walitangaza kuachana na Malale baada ya presha kubwa ya mashabiki,…