
Motsepe kutua Zanzibar na ndege binafsi
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk. Patrice Motsepe, anatarajiwa kutua leo Jumapili visiwani Zanzibar kwa ndege binafsi akitokea Afrika Kusini, ili ashuhudie mechi ya fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya mwenyeji Simba na RS Berkane kutoka Morocco. Taarifa kutoka ndani ya CAF zinaeleza kuwa, Motsepe ataongozana na wajumbe na…