
Laizer mbioni kurejea Fountain Gate
TIMU ya Fountain Gate iko katika hatua za mwishoni za kumrejesha aliyekuwa kocha msaidizi wa timu hiyo, Mohammed Ismail ‘Laizer’, huku makocha wa kikosi hicho kwa sasa Khalid Adam na Amri Said ‘Stam’ wakiwa mbioni kuondoka. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zimelidokeza Mwanaspoti kuwa, Laizer atakabidhiwa mikoba ya kukiongoza kikosi hicho katika mechi mbili…