
Ambokile aitega Mbeya City | Mwanaspoti
STRAIKA wa Mbeya City, Eliud Ambokile amesema pamoja na kufanikiwa kuirejesha timu hiyo katika Ligi Kuu, bado hana uhakika wa kuendelea kuwepo kikosini humo, huku akichekelea rekodi aliyoiweka katika Championship. Ambokile aliliambia Mwanaspoti kuwa mkataba wake unaisha, hivyo hana uhakika kama ataendelea kubaki Mbeya City kwani anaangalia sehemu yenye maslahi na mpira ndio kazi yake….